Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #61
Watu wana wivu hata hawalike jamani lakin ningekuwa nalia nanung'unika hapa watu wangelike kweli ,,yaan watu hawapendi wenzao wapate furaha kabisa,,leo nna furaha nyie hata mtu aniudhi siudhiki kabisa😀😀😀😀
sipati picha
Usijali[emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahahahaaaaa.Sijaliiiiii
Mama sabrina ni naniiiHahahahahahaaaaa.
Nimecheka sana na uzi wako.
Pole bana usikufwe na utamu bora umetoa ya moyoni.
Kila la kheri!!
serious?Rusha picha pm nikuone,,naweza kuacha hata kuonana na ulimwengu ila kama unamzidi
Aisee.Bora umekuja aisee
Maji nayasikiaaa kabisa
Ofcourseserious?
Ngoja nimpigie handsome wangu mwingine alale vizuri asijenicha bureAisee.
Pole sana
Jinsi ulivyohadithia na kuponda wengineMama sabrina ni naniii
Umecheka nini Mwifa nambie bana
Nataka kufa sina utamu mwilin wote umeisha,wale wadudu wakakutane na chumvi tu
Ila si unaye wa permanent?Ngoja nimpigie handsome wangu mwingine alale vizuri asijenicha bure
Umesoma uzi vizuri,,au umeona docta hawezi niacha salama?Ila si unaye wa permanent?
Ufanye haraka usicheleweshe maana hii pumzi haitabirikiMaji yapo kiunoni kabisa si akinikiss tu yanamwagika mwaaah
wanamuonea wivu huyo mkaka..Watu wana wivu hata hawalike jamani lakin ningekuwa nalia nanung'unika hapa watu wangelike kweli ,,yaan watu hawapendi wenzao wapate furaha kabisa,,leo nna furaha nyie hata mtu aniudhi siudhiki kabisa
Mwifwa mru kanirushia pic ana vinywele vipilipili kwapan hivi alidhan ntajisikia vizuri ,ukijumlisha ana sura kali ya kunyweshea uji mtoto ,aliniharibia sana siki yangu ya jana huwezi amini sipendi kuona makwapa ya watu hasa yenye vipilipiliJinsi ulivyohadithia na kuponda wengine
NimekusomaUmesoma uzi vizuri,,au umeona docta hawezi niacha salama?
Hata awe nani sijalii humu jf hakuna anaemfikia hata kuchaFala tu huyo jamaa.
sawa sitajali mm [emoji4]Usijali
Ningerusha sura baya wangechekaa watu wa jf wana vituko kwelii ,lakin wala siwajaliwanamuonea wivu huyo mkaka..
si unakumbuka tangu uzi wako wa mwanzo walivyo mponda