Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #61
Watu wana wivu hata hawalike jamani lakin ningekuwa nalia nanung'unika hapa watu wangelike kweli ,,yaan watu hawapendi wenzao wapate furaha kabisa,,leo nna furaha nyie hata mtu aniudhi siudhiki kabisa😀😀😀😀
sipati picha