Leo nina furaha sana usiku huu

Sasa nawewe uwe mzuri. Siyo kupenda wazuri tuu wakati Mwenyewe unasura ya ajabu[emoji1]

hahaha kumbe na nyie mnajijuaga kuna wengine sio wazuri! Ila bana ninyamaze

Yaan Allepo ungekosa huu uzi nisingekojoa usiku huu
Usinichambe tu leo siudhiki kamwee

Hahahah ata sikuchambi kabisa wewe ni best angu mie kucha na kidole. Sasa mama sabo ina kumbe na wewe unapendaga mpaka unachizika hivi! anyway mi sisemi kitu maana baada ya 1s ukaparalyse
 
Siku nyingine umwambie akutumie picha nzuri yenye kuvutia
Ngoja nikusimulie huyu kaka mwenye vipilipili ,,ana rafiki yake handsome kweli,,sasa siku moja nikamuomba picha ya rafiki yake si akaona wivu eti mbona yangu hujawah niomba,huwezi amini alirusha picha ya yule kaka akiwemo na yeye tena yule handsome yupo nyumaa ye kajiweka mbele na mpua wake huoo wakati mi niligaka ya yule kaka peke yake nimuonyeshe rafiki yangu ahahahahah,,sinaga hata hamu ya kumuomba picha mie
 
Aleppo achana na huyo bana mi mpaka ulimwengu kanifollow unadha sura yangu ya nyamayao au mwajuma[emoji23][emoji23] wazuri kwa wazuri tunafatana tu
 
Hahahaa.
Hapo lazima angefanya hivyo, maana kaharufu fulani alikanusa kutoka kwako juu ya huo kaka uliyeomba utumiwe picha yake.
Ndio maana aliamua kukufanyia hivyo
 
Una wivu kama wa MBITIYAZA ndo nimegundua leo aisehhh

iache hiyo roho usiwe kama huyu wa chattle
 
Dokta Naona Unaelekea Kumcheat Lorraine Bhoke,Be Carefull Brother,NajuaKwa Umaarufu na UHandsome Ulionao Wa Aina Hii Ni Wengi Sana KwakoSo Ukiwagonga Tumia Tu Kinga,Wako Rafikiako Former Neighbour At Hall One,UDSM!!
 
Eheheheheh acha zako lorraine ale kwa urefu wake tu
Halaf wala simpindui ye abaki hapo hapo
 
Hahahaa.
Hapo lazima angefanya hivyo, maana kaharufu fulani alikanusa kutoka kwako juu ya huo kaka uliyeomba utumiwe picha yake.
Ndio maana aliamua kukufanyia hivyo
Alinikomeshaa mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…