Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #121
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali sisi tunaandaa tuzo hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali sisi tunaandaa tuzo hapa.
Sasa nawewe uwe mzuri. Siyo kupenda wazuri tuu wakati Mwenyewe unasura ya ajabu[emoji1]
Yaan Allepo ungekosa huu uzi nisingekojoa usiku huu
Usinichambe tu leo siudhiki kamwee
Siku nyingine umwambie akutumie picha nzuri yenye kuvutiaHalaf mbaya zaidi ananipenda ananiudhiii kweli
ndioo..Heeee wewee yamekuwa hayo
Eheheh wivu tu miss anaona,,jamaa mkalee
Ngoja nikusimulie huyu kaka mwenye vipilipili ,,ana rafiki yake handsome kweli,,sasa siku moja nikamuomba picha ya rafiki yake si akaona wivu eti mbona yangu hujawah niomba,huwezi amini alirusha picha ya yule kaka akiwemo na yeye tena yule handsome yupo nyumaa ye kajiweka mbele na mpua wake huoo wakati mi niligaka ya yule kaka peke yake nimuonyeshe rafiki yangu ahahahahah,,sinaga hata hamu ya kumuomba picha mieSiku nyingine umwambie akutumie picha nzuri yenye kuvutia
Aleppo achana na huyo bana mi mpaka ulimwengu kanifollow unadha sura yangu ya nyamayao au mwajuma[emoji23][emoji23] wazuri kwa wazuri tunafatana tuhahaha kumbe na nyie mnajijuaga kuna wengine sio wazuri! Ila bana ninyamaze
Hahahah ata sikuchambi kabisa wewe ni best angu mie kucha na kidole. Sasa mama sabo ina kumbe na wewe unapendaga mpaka unachizika hivi! anyway mi sisemi kitu maana baada ya 1s ukaparalyse
Ila nimemiss ligi zako weweHeheheh naona umeanza kunisuta sasa best! ujue sipendi
No mim urafiki tu unatosha mengine ni emergence tu [emoji6][emoji6][emoji6]ndioo..
dokta akiwa wako naamini yatakuwa malipo mujarabu kabisa hahaha
Dada sihitaji huruma mieKazi kwako
Hahahaa.Ngoja nikusimulie huyu kaka mwenye vipilipili ,,ana rafiki yake handsome kweli,,sasa siku moja nikamuomba picha ya rafiki yake si akaona wivu eti mbona yangu hujawah niomba,huwezi amini alirusha picha ya yule kaka akiwemo na yeye tena yule handsome yupo nyumaa ye kajiweka mbele na mpua wake huoo wakati mi niligaka ya yule kaka peke yake nimuonyeshe rafiki yangu ahahahahah,,sinaga hata hamu ya kumuomba picha mie
Ngoja nikusimulie huyu kaka mwenye vipilipili ,,ana rafiki yake handsome kweli,,sasa siku moja nikamuomba picha ya rafiki yake si akaona wivu eti mbona yangu hujawah niomba,huwezi amini alirusha picha ya yule kaka akiwemo na yeye tena yule handsome yupo nyumaa ye kajiweka mbele na mpua wake huoo wakati mi niligaka ya yule kaka peke yake nimuonyeshe rafiki yangu ahahahahah,,sinaga hata hamu ya kumuomba picha mie
Eheheheheh acha zako lorraine ale kwa urefu wake tuDokta Naona Unaelekea Kumcheat Lorraine Bhoke,Be Carefull Brother,NajuaKwa Umaarufu na UHandsome Ulionao Wa Aina Hii Ni Wengi Sana KwakoSo Ukiwagonga Tumia Tu Kinga,Wako Rafikiako Former Neighbour At Hall One,UDSM!!
😉🙂No mim urafiki tu unatosha mengine ni emergence tu [emoji6][emoji6][emoji6]
Alinikomeshaa mieHahahaa.
Hapo lazima angefanya hivyo, maana kaharufu fulani alikanusa kutoka kwako juu ya huo kaka uliyeomba utumiwe picha yake.
Ndio maana aliamua kukufanyia hivyo
Eheheheh yaan Aleppo we acha leo nna raha nalala vizurii shida zoye tupa kulee
Haya Kila La kheri!Eheheheheh acha zako lorraine ale kwa urefu wake tu