Leo nina furaha sana usiku huu

Naona kile kilio chako cha kutoa maji kinakaribia kutatuliwa. Nikutakie kila la kheri.

Lakini unafahamu watu waliomfollow jamaa wanaweza kuing'amua username yako insta kwa kuangalia recent activity wakaona pale docta followed mama_sabrina... Na timestamp ipo kabisa. Dadeki.
 
Niko nakunywa Heineken hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui nimechelewa wapi kuona huu uzi

Wewe si muda wa makonda umeshaisha

anyway na wewe unanyapia nyapi

kweli umbea posho tutajenga nchi ndani ya siku saba na ikishindikana naendea kusemea kwa rais
 
Hahaha haya mrembo miss mama dk ulimwengu kazi ni kwako yajayo yanafurahisha upo tayari... tigo live it love it
Sijali vyovyote kwanza haya tunaongea ni changamsha lengo kuu si haya bana
 
Sijali mimi,,kwani mie osama bana mim sio gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…