Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti natishiwa lorraine watu wanazaa na wau,e za watu sembuse demu
Hahahaha mzuri mno huyuBasi leo kajibu dm ya rafiki angu pia kila saa naonyeshwa msg aliyojibiwa
Ulikuwa wapi leoWewe rafiki angu atakuroga ujue
Hayo ndio manenoHaya Kila La kheri!
Pole sanaAlinikomeshaa mie
Mbona hamzidi hanihii sasa??Hahahaha mzuri mno huyu
Amin!!Hayo ndio maneno
Niko nakunywa Heineken hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui nimechelewa wapi kuona huu uziUlikuwa wapi leo
Wewe rafiki angu atakuroga ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi leo kajibu dm ya rafiki angu pia kila saa naonyeshwa msg aliyojibiwa
Eheheheh yaan Aleppo we acha leo nna raha nalala vizurii shida zoye tupa kulee
Naona leo dokta kaingia dm zake. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafasi bado zipo fanya mchakatoHalafu hongera pia ya kufolliwa back babe
We si ulisema huyo rafiki yako alikuwa ni deku wake ama,leo tena kajibiwa dm ahahaha,wanaume ndivyo walivyo si unaona hata wewe subiri uatayaonaNaona leo dokta kaingia dm zake. [emoji23][emoji23]
Niko nakunywa Heineken hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui nimechelewa wapi kuona huu uzi
Sijali vyovyote kwanza haya tunaongea ni changamsha lengo kuu si haya banaHahaha haya mrembo miss mama dk ulimwengu kazi ni kwako yajayo yanafurahisha upo tayari... tigo live it love it
Sijali mimi,,kwani mie osama bana mim sio gaidiNaona kile kilio chako cha kutoa maji kinakaribia kutatuliwa. Nikutakie kila la kheri.
Lakini unafahamu watu waliomfollow jamaa wanaweza kuing'amua username yako insta kwa kuangalia recent activity wakaona pale docta followed mama_sabrina... Na timestamp ipo kabisa. Dadeki.