Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Mwifwa mru kanirushia pic ana vinywele vipilipili kwapan hivi alidhan ntajisikia vizuri ,ukijumlisha ana sura kali ya kunyweshea uji mtoto ,aliniharibia sana siki yangu ya jana huwezi amini sipendi kuona makwapa ya watu hasa yenye vipilipili
Hahahahahajahahahahahahaaaaa.

Pole.
Hapo haina haja ya kuchukia, fanya kama unavyofanya ukiwa sokoni
 
how-to-layout-three-bedrooms.jpg

Kila siku mimi nafanya hivi vitu unaeza nivumilia??
Kwani nami najenga au,,si wewe ndio kazi yako ugumu nini hapo
 
Hahahahahajahahahahahahaaaaa.

Pole.
Hapo haina haja ya kuchukia, fanya kama unavyofanya ukiwa sokoni
Alikwanza sana japo nami ni kabaya tu wala sio mzuri lakin not fair ,alinipa mahisia mabaya ya kinyaa
 
ndo uwazoee tu...
wanakusubiria uwaletee mrejesho kuwa kweli ana kibamia😀😀
Nakuambia huyu kaka hana kibamia nakuapiaa,,japo hatufanyi hivyo lakin hana akiwa nacho atakuwa na kila cha mapenzi hakiudhi kinatia hamasa
 
Sasa nawewe uwe mzuri. Siyo kupenda wazuri tuu wakati Mwenyewe unasura ya ajabu[emoji1]
We mpaka kunifollow hajajal sura wala nin ,,unadhan wakaka wazuri wa hivyo huwa wanaona sasa
 
Nakuambia huyu kaka hana kibamia nakuapiaa,,japo hatufanyi hivyo lakin hana akiwa nacho atakuwa na kila cha mapenzi hakiudhi kinatia hamasa
Kikubwa ni mrejesho tu, sisi hatuna hiyana kabisa.

Kumbuka utapeperusha bendera ya JF [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mama sabo kweli unampenda tena inaelekea na tumaji tulipoka kule chini sasa nakuomba ukaoge sasa umsafishie papa mr dunia
Yaan Allepo ungekosa huu uzi nisingekojoa usiku huu
Usinichambe tu leo siudhiki kamwee
 
Back
Top Bottom