Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #421
Kabisa wanagawiana tu jamani na sie tpeane kama navyowapa nyieWanawake tupendanee
Wanaume mbona wanapeana pasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wanagawiana tu jamani na sie tpeane kama navyowapa nyieWanawake tupendanee
Wanaume mbona wanapeana pasi!
Hivyo mahb ndio wanaumiza tu!!!Ni huyo aliyevaa T shirt ya CWT? Haya muoane sasa ila usije ukatuletea malalamiko ya kuumizwa. Mpe Papuchi haraka
Haya lifunge lipm utarogwa uisahau forex
Mbona pm umeniambia unanifikiria ombi langu la kuwa wapenzi? [emoji21]usiniblock dear niko nawe pekee.
Yes nimekuachia kabisa ila kama ukishindwa mrudishe nimlee hivyo hivyo huku kapangwa mstariKwahiyo na wewe ulivyo na roho nziri umeniachia mimi? Nakupenda bure
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mpaka Max namtimbia huko huko.
Sasa unaweza kuta huo U-HB na mkifua wake anavyo vimejibanza sehemu.Na kweli, HB hivyo anautoa wapi UKIMWI kwa mfano!!! Hata ukimwi wenyewe unaogopa.
Tunabanana ulipoMakaveli nisaidie kumchukua mzigua ananisumbua sana
Ahahahahahah nakojoooooaaaaaaa
Uwiii yaannnampa poleeSijui mwenzetu atakuwa kwenye hali gani?
Watu wabaya sana
SIBAGUI SICHAGUI!ATAKAYENIZIKA SIMJUIIII!Khaaaa
Hapo sasa. Na sisi tugawane kilichopoWanawake tupendanee
Wanaume mbona wanapeana pasi!
Nimekojoa kabisa maji marefuuuKwa hiyo mpaka ukakojoa?
Ohoo
Shangaa na weweNa kweli, HB hivyo anautoa wapi UKIMWI kwa mfano!!! Hata ukimwi wenyewe unaogopa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Mama Sabrina nimkamate wa nini sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakufwaaa mie na umbeaaUmbeya utawauwa
Kaaah
[emoji23] [emoji23]Mi sura tumuachie Mungu bwana. Msukuma ndo nani mbona simjui? [emoji85] [emoji85][emoji38]
Alafu wanasimuliana!Kabisa wanagawiana tu jamani na sie tpeane kama navyowapa nyie
Wacha weeh!!Wewe kanitakia asubuhi njema ,,nna raha mieeeee raha ya moyoooooo
Kwani alielewaje?Ahahahahahah nakojoooooaaaaaaa