Leo ninamposti Miss JF CARLEEN

Leo ninamposti Miss JF CARLEEN

Habari wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa.
Leo nina zawadi yenu nzuri ajabu najua kila mtu mpenda jukwa jukwaa hili ataifurahia.

Ninampost hapa jukwaani misd jf wetu wa leo si mwingine niiiiii......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanaounga mkono waseme ..ndiooo
Wasiunga mkono waseme siooooo

Nikipokea likes 21 ninamposti rasmi..

Nitarudi
Carleen
Extrovert
DeepPond
cocastic
Mshana Jr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] watu weuweeeeeeeeeh
 
Habari wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa.
Leo nina zawadi yenu nzuri ajabu najua kila mtu mpenda jukwa jukwaa hili ataifurahia.

Ninampost hapa jukwaani misd jf wetu wa leo si mwingine niiiiii......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanaounga mkono waseme ..ndiooo
Wasiunga mkono waseme siooooo

Nikipokea likes 21 ninamposti rasmi..

Nitarudi
Carleen
Extrovert
DeepPond
cocastic
Mshana Jr
Bado 19 twende kazi
 
Glenn nimepokea kwa mikono miwili ombi lako.. Naahidi toka leo na sasa hivi nitakuwa mlinzi wa Carleen kiroho na kimwili na hii ndio zawadi yangu kwake kama ukumbusho wa siku yake hii kuu ya kuzaliwa..!
Happy birthday Carleen
giphy.gif
Ubarikiwe mkuuu...mzee mwenye hekima zake.
Hakika kilinge kina mtu makini kabisa[emoji16]
Carleen
 
Back
Top Bottom