Leo nitapiga picha sehemu zangu za siri

Utakuta kuna wanaume wamekimbilia humu kuangalia nyeti za mwanaume mwenzao. Mi nimekuja nikijua kuna bidada kamwaga radhi.
 
Pale unapojifichaga ukiwa unadaiwa sio pa siri tena. Maana mie huwa nakuonaga tu sema huwa sijui sababu ya kujificha kwako
 
Hahaa...watu weewee walitegemea kuona picha za utupu..mkuu dah, umewavuruga akili.tafsida kali sana hii...basi piga na pale unapoficha nyaraka zako muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…