Leo nitapiga picha sehemu zangu za siri

Nikafungua taratiib na kidole kikiwa kwenye button ya close nisije iharibu swaum yangu ya pasaka leo kumbe mhhh!
 
Watanzania tumerithishwa na Mr Handsome kuwa na majina yetu mfukoni maana kabla ya kusoma uzi tulikuwa na majibu yetu tayari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimefungua haraka nikadhani nitaona hizo picha kumbe bado loading.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…