Living our lives to the maximum... Hatuna habari ya watu, tunaangalia na kufaidi ya kwetu tu...Pasaka njema kabisa mkuu Tumetoka nje ya mji kidogo tutarudi leo Jioni
Wa ubavu wangu Smart911 hajambo kabisa yupo gado yani fulluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ila bado kalala
Asante mkuu maana Leo najua mnamalizia sikukuu
Kwa hiyo ukatumia mbinu ya kijeshi au ukambembeleza
Vungu zipo nyingi love.. Ni yeye tu akipendezewa na vungu ipi...
Hahaha... Kule kwa juzi lazima upapende mahondaw wangu... Kuna asali... Usije sema umechoka...
Haaaa eti kitumbuaMweee! Nimekuja mbio mbio nikajua utaweka kitumbua hadharani!
Hujatulia we, mi nimekuja mbio nijionee dushelele au kibamia kumbe..... Lah!kwanza nitapiga pale ninapoficha pesa na pili nitapiga pale ninapojifichaga kama nikiwa nadaiwa
mahondaw it still feels like our first night together. mahondaw it still feels like our first kiss.Sitochoka kusema nakupenda sana Smart911 wangu. Nakutaka na kukuhitaji sana Smart911 maishani mwangu
View attachment 497258
Daah sikufanikiwa kumuingiza club... Badala yake tukaenda sehemu mmoja hiyo... Tume enjoy more than tungeingia club... Patulivu hakuna fujo... Yani kila umuonea pale ni ustaarabu kwa kwenda mbele... Ingawa it was an expensive place but we had fan sana tu...Kwa hiyo ukatumia mbinu ya kijeshi au ukambembeleza
Hongera Mkuu maana kubadilisha mazingira kunafanya upendo uongezekeDaah sikufanikiwa kumuingiza club... Badala yake tukaenda sehemu mmoja hiyo... Tume enjoy more than tungeingia club... Patulivu hakuna fujo... Yani kila umuonea pale ni ustaarabu kwa kwenda mbele... Ingawa it was an expensive place but we had fan sana tu...
Cc: mahondaw