Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

Unakuna nazi jikoni,ukitoka unaenda mkunia kitandani,jitahidi mdogo wangu lazima asichomoke,napoleone hamisha majeshi fasta
Hahah,nipo mbion,..wazigua wanajuaga vyote vyote
 
Abembeleze kwa kuwa ndoa ni yake pekee?
Nanyi kwa kujikuta tu hamjambo, hapo ajitoee akupikie ugali weeee afu umuache kwenye mataa si bora abebe take away teh tena asitoe hela utoe wewe
Siwez mfanyia hvyo,..mi najielewa skuhiz..
Ila akiendelea na mentality hyo,kwamba hafany majukum yake kisa anahis ntabeba mwingne,yaan aweke mguu nje mguu ndan,itakula kwake,maana dushe hua hali exhaust,ila papuch Yes.
 
Majukumu kivipi wakati sio mkeo huyo???
Kusuuza tu rungu basi unahisi una haki ya kupikiwa n.k shemeji oa kwanza
 
Hii combination ni shidaaaa!!!!!

Majukumu kivipi wakati sio mkeo huyo???
Kusuuza tu rungu basi unahisi una haki ya kupikiwa n.k shemeji oa kwanza
Yaan anakuja kwangu,jiko lipo n kila kitu provided,anashindwa pika mkuu et sabab tu sjamuoa,kiukwel kama ndo hvyo bas hamtend hak..kiukwel
 
Iswe kwe wapanga, ko tima mamdege na ma ntonga gegela kupya.

Hahahahahhaa banaaaa..... achaaaa aaahhh eehehehehehehheheheheheee

Kineheee....!!! waamilemoo...!!! aahahahahaa
 
Igunga na Cape Town zimekutana kwenye huu uzi.Ngoja niendelee kuxoma comment.
 
Usku wa leo utajamba sana
 
Picha Tafadhali [emoji15] wengine bila picha hatuelewagi [emoji4]
 
Siamini mpk nikuone ukifukia maana utakuwa na tumbo kama fisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…