Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

Huo mchanganyiko wako tumbo litakuwa na mambo mawili usiku.

1.Litoe Gesi
2.Litoe Maji yenye mabaki ya huo mchanganyiko.
 
Wakuu,mnajua ubachela ni mzigo,..kuna baadh ya vyakula sili tena et,..na ikitokea nikavibabatiza mahal hua nachanganyikiwa kabsaaaaa

Leo kuna kona moja hiv mitaa ya diamond jubilee jamaa yangu alinambia pana msos mzur,.si pasaf sana kwakwel,..ila kiukwel sjawai kula chakula kama kile,kiukweli...misos kama ile nkiendaga nyumban ndio mama yangu hua anapika napata ile taste,.

Ila sio dem /madem/mchepuko wangu ama mwanamke yoyote aliwai pika nkala msos ka ule,..kiukwel yule mama anaepika pale leo kanifanya nione kua kuna umuhimu wa kwakwel kuchagua mwenza wa ndoa ambae yuko vzur jikon,

Nmekula had watu wakawa wananiangalia mara mbil mbil.maana baada ya sahan ya kwanza,nkamaliza nkaagiza nyingne

Vyakula vya kiofis ofis havina ladha,halaf unawai shiba mapema sjui kwanin.
Jaman mim napenda sana maharage,samak,kisamvu na ubwabwa.daaah,..aww na mchuziiii

Samahanin kwa uzi wa kijinga,ila nmeona nishee furaha yangu na wakuu
.........Waaaaali na soooooombe, yoooo kanakolea kwa shingo.....! Likayabuu eeeh likayabuu.....!
 
Mimi mwenyewe kisamvu siwezi kula bila maharage,yaani lazima viende pamoja na samaki au dagaa mchele
 
Sasa kama wanawake zako wanatumia nazi ya azam kuungia maharage na kisamvu utapata wapi taste ya chakula? Usione wenzio wanapenda wanawake wa Tanga ukawaona maboya wanajua shughuli yetu jikoni
Hapa unazungumzia nazi halisi ya kukuna mwenyewe au sio!
 
Sasa kama wanawake zako wanatumia nazi ya azam kuungia maharage na kisamvu utapata wapi taste ya chakula? Usione wenzio wanapenda wanawake wa Tanga ukawaona maboya wanajua shughuli yetu jikoni
Hahahahaha,ila kwel watoto wa kitanga wako vzur,..kuna m1 nilibahatikaga asee,nilienda kwake akanipikia wali ,maharage na kuku wa kukaanga halaf kuna ile mboga ya majan,sjui mboga gan walah nilimuuliza akagoma taja akasema kama unataka vtu adim we njoo ule..ile mboga alisema kaweka nazi,ila ilikua ina weupe flan halaf ikawa na ka usukari flan kwa mbal halaf ilikua laini mkuu.ina haruf ya pilipil manga sjui,..dah,nililala kwa yule dada siku 2..akikukaangia yai tuu,unachanganyikiwa,sjui anaweka nin,linanukia kama,umekatiza mitaa ya kisutu ya wahind kule
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kula sana sio afya wala sio eti ndio uanaume,unatakiwa ule balanced diet,kama vile,mboga,nyama,matunda,
maziwa,
juice na vinginevyo,tena visiwe vyakula frozen bali viwe fresh,

Kufakamia tu eti sijui misahani ya wali na maharage juu yake ni kujaza tumbo tu!
Soma tena uzi,hukunielewa....mi nafanya diet mkuu,na sijala vyakula hvyo mda mref,so leo niliamua kukata kiu,...au we ndo wale wazee wa kuponda tuu chochote kiandikwacho jf,..ts weird,b positive tu,wala si gharama
 
Back
Top Bottom