Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa Mkapa

If you khow you khow

Leo RAJA wanapiga mtu kama ngoma kwa mkapa

Pamoja na vichezaji wa bure vya simba leo wanaenda kuaibishwa sana

Natanguliza pole kwa mashabiki wa Simba

Raja sio NAMUNGO
Jamaa haeleweki alichoandika
 
Simba ya msimu huu siyo ya kuiwekea dhamana. Maana mbele ni butu, katikati hapaeleweki! Nyuma nako ni tia maji tia maji!!

Yaani watabebwa na hamasa ya mashabiki wao watakao washangilia. ila siyo kwa uwezo wa wachezaji.
 
Umeongea pumba..
 
Yanga ni bonge la timu, katikat na mbele ni hatarii balaa muulize mtunisia tulimpiga juzi 2 bila, na sis tupo ligi ya mabingwa simba wapo shirikisho kwa ma loser

Tp mazembe kesho tunapiga za kutosha
 
Yanga na simba baba yao mmoja. Hata wao pia timu yao inacheza mpira wa kutabirika. Hivyo usifikiri labda naiponda simba, na kuitetea Yanga.

Timu zetu za Bongo bado hazijafikia uwekezaji wa akina Mamelod Sundowns, Al Ahly, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Wydad Casablanca, nk.
 
Back
Top Bottom