HahahaaHujui kuwa Bangi hata wachawi wanaiogopa??
Lini?Aliomba msamaha!
Kwahiyo itasomwa nyingine?Maybe wanasubiri amalize Eid al-Fitr
Huyo jamaa wa event horizon huenda anayaabudu ma Supermasive Blackholes
Inafikirisha sanaNi ujinga tu...maneno yanaweza je kuua mtu?
Yani mnaamini vitu vya kijinga sana ninyiii
Mungu hayupo hivo, tuonavyo wanaadamu ni tofauti na Mungu aonavyo.Albadiri ilisomwa na KISHKI ili afande Sele afe kabla ya ramadhani lakini bado anaendelea kudunda...
Mbona simba fc mikia fc inashinda mechi zake kwa uchawi wa paka manyau bila hivo hakuna kitu paleDini ni utopolo kama Yanga!
Unaongea kama mtu alieshiba baada ya kula samakinchanga wa kutosha!Kwani yanga wameshindwa kuufikia huo uchawi?Mbona simba fc mikia fc inashinda mechi zake kwa uchawi wa paka manyau bila hivo hakuna kitu pale