Leo rasmi naenda kujiandikisha rasmi tawi la CHADEMA Mbezi Mwisho

Leo rasmi naenda kujiandikisha rasmi tawi la CHADEMA Mbezi Mwisho

Kuna dalili kwamba huenda wengi wamefurahi sana ila kulingana na nafasi zao, mazingira.. Wanasherekea kimya kimya.. Ile ndani kwa ndani🤣
Mimi pia nafuraha Sana Sanaa 😊 yaani moyo umejaa furaha isiyo mithilika.

Nuru imeshinda gizaa
 
Kwenye press...Lema alitoa speech moja nzurii Sanaa Kina msigwa,slaa, nao walitoa speech nzurii za kizalendo kabisa..

Bado tuna WAZALENDO kibao wengine wapo humo humo CCM na wanataka mageuzi/ mabadiliko

Ameamsha Khali na morali ya Wana mageuzi/mabadiliko kwa speed ya SGR 😊

NI RAI KWA KILA MZALENDO WA NCHI HII INCLUDING DR.SLAA KUONGEZWA KWENYE HII MOVEMENT YA KURUDISHA NCHI KWENYE MSTARI MNYOOFU.
 
Back
Top Bottom