Leo rasmi naenda kujiandikisha rasmi tawi la CHADEMA Mbezi Mwisho

Leo rasmi naenda kujiandikisha rasmi tawi la CHADEMA Mbezi Mwisho

Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.

Nina furaha Sana

Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Nyie ndo mamluki , kesho utatukimbia , vita unapigana kwa nyakati zote mbaya na nzuri, sasa wewe unasubiri nyakati nzuri, kachukue ila uwe na dhamira ya kweli moyoni ya kujiunga chadema
 
Back
Top Bottom