Mimi pia nafuraha Sana Sanaa π yaani moyo umejaa furaha isiyo mithilika.Kuna dalili kwamba huenda wengi wamefurahi sana ila kulingana na nafasi zao, mazingira.. Wanasherekea kimya kimya.. Ile ndani kwa ndaniπ€£
Retired leo karitaya rasmiNiliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Nuru imelishinda Giza πTundulisu sna lakusema ila umechukua madaraka wakat sahihi.mbele palikua giza totoro tuliannza kukata tamaa.
Nadhani mshana ambaye ameua ndege wawili kwa jiwe moja, sijui ana furaha kiasi gani. Simba na Tundu Lissu Mshana JrMimi pia nafuraha Sana Sanaa π yaani moyo umejaa furaha isiyo mithilika.
Nuru imeshinda gizaa
πππNuru imelishinda Giza π
wahi haraka tumuondoe huyu samia mbaya uchaguzi unaokujaNiliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,