Yaani , moyo wangu umepata pumzi mpyaaa !Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Nyie ndo mamluki , kesho utatukimbia , vita unapigana kwa nyakati zote mbaya na nzuri, sasa wewe unasubiri nyakati nzuri, kachukue ila uwe na dhamira ya kweli moyoni ya kujiunga chademaNiliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Karibu sana kwenye CHAMA.Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Hili tulifungilie Uzi kabisa ni jambo kubwa na la msingi sanaChadema watupe digital platform yao tujiandikishe uanachama tuanze kuchangia chama
Nimepita hapa Vingunguti nimeona vijana wamejaa kwenye Tawi ila Ofsi niliona kama zimefungwa.Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Tunaweza kuendesha chama kwa michango kidogo dogo tu. Buku mbili, buku tano mara milioni tano mbapata Bilioni 10.Chadema watupe digital platform yao tujiandikishe uanachama tuanze kuchangia chama
Kunazidi kuchangamkaNiliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Barikiwa sana na BwanaNiliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho.
Nina furaha Sana
Pia soma
Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Alikuwa kama LipumbaMimi hyo ya mbowe kuwa mwenyekiti kwa muda mrefu ilikuwa inaniboa sana
Ameeni, barikiwa na BwanaInshaallah mwaka huu nitapiga kura mana nilisusa kabisa chadema Mungu awabariki