Ndio maana kuna odds mkuu kama hu mwaka PSG ana odds ndogo kuliko timu zote!Unahitaji bahati kubwa saana kubeba UEFA champions league, hizi gemu za knock out ni za kiwaki saana, unakuta ligi ya nyumbani una gemu ngumu, kisha tayari una majeruhi halafu unakutana na mtu kawaka.. Anakubahatisha viwili kwako, kwake anapaki basi mchezo umeisha 😂🤣
Bayern wa sasa kachoka mno, labda PSG / CITYBingwa ni Baryen munich aina ubishi.