Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mashabiki wanamuwaza Samata tuYani nasubiri siku ifike msuva aanze kupewa sifa zake zinazostahili kwenye timu ya taifa
yule Dogo huwa Ana kismati ila siyo player tishio Kama media za nyumbani zinavyo mpaisha
Leo imekua mechi mbaya kabsa kwa Mbwana. Kila alichojaribu kufanya kiligoma. Sio kwamba alikabwa sn na opponents. Mara nyingi alikua anapoteza mpira peke kabsa. Sjui wengine mlivyomtazama.
Ni bora asipangwe maana anauza chai yenye pilipiliYani nasubiri siku ifike msuva aanze kupewa sifa zake zinazostahili kwenye timu ya taifa
samatta anabebwa na promo nyingi za mediaLeo imekua mechi mbaya kabsa kwa Mbwana. Kila alichojaribu kufanya kiligoma. Sio kwamba alikabwa sn na opponents. Mara nyingi alikua anapoteza mpira peke kabsa. Sjui wengine mlivyomtazama.
Hata Guinea wamekuja wakijua kumbana tu samatasamatta anabebwa na promo nyingi za media
Hata Guinea wamekuja wakijua kumbana tu samata
kuna wkt gemu linakataa,yani hata mpira haukai mguuni,gemu inakukataa kabisa
Hata ma pro wa ulaya huwa yanawakuta na wanafanyiwa sub anaenda nje
Ukisoma thread ya mleta mada (post #1) na yangu, utaelewa, unless otherwise ww ni GuineaKwahio mlitaka wamuachie acheze anavyotaka ?!
Dah wachawi wa bongo hatari sana.