Leo Samata kacheza ovyo kabsa toka nimfahamu

Leo Samata kacheza ovyo kabsa toka nimfahamu

Hayo mengine yaliomo tu, kama timu imeshinda hata kama walifika gorinibkwa mpinzani mara mbili nankupata bao mbili inatosha. Matokea ya mchenzo ndio yanaamua ubora wa timu. Nasema wamepindua meza kibabe. Japo ilibakia kidogo "ccm walale nacho!" Maana watu walishaanza kuikataa timu na kuikabidhi kwa wahusika🤣⚽️⚽️
 
Wachezaji wengine wapo ili kuunganisha na kuipa nguvu timu
 
Huyu samatta anacheza kifaza sana anapokua timu ya taifa. Mm binafsi naona bora angekua anafanyiwa sub.
 
Huyu samatta anacheza kifaza sana anapokua timu ya taifa. Mm binafsi naona bora angekua anafanyiwa sub.
Kufanyiwa sub sio tatizo.. ila kuna kitu kocha anakiona kwa Samatta.
Ana utulivu, anaweza kutengeneza nafasi + kufunga.. Pia ana uwezo wa kucheza mipira ya juu vzr tu,
Kwa nafasi yake sioni wakumuweka benchi kirahisi mtu kama Mbwana na sio kila game utakuwa kwenye kiwango bora.
 
Ni kweli, labda anaogopa kuumia. Mwenzake Msuva amejitoa sana, hata goli la kusawazisha amepambana.
Ni kwamba E-Guinea walijipanga kumkaba Mbwana Samatta watu wengi, ile tunaita kukamia.
Kwa kufanya hivyo waliacha mwanya wa akina Msuva kushambulia bila kukabwa sana.
 
Lini Samatta alicheza vizuri timu ya taifa?

Saimon Msuva anatubeba sana, hakati tamaa, anapambana sana.

Samatta akija huku anacheza kifaza sana

Msuva ni mzuri ila ni mchoyo sana,ana ubinafsi mwingi sana, anapenda sana kuung'ang'ania mpira wakati wenzake wanakuwa wapo kwenye nafasi za kufunga,ingawa katupatia goli lakini ile mechi kama asingeleta uchoyo tungeshaimaliza mapema tu.Samatta naye hana umakini sana anapiga mpira ili mradi kupiga tu,mtu yupo yeye na kipa,anambamiza kipa na mpira wakati ni mpira wa kuuinua kiduchu tu,anakosa umakini ktk goli la adui
 
Tatizo baadhi ya mashabiki wanamtaka Kila shuti analopiga Samata liwe goli Jambo ambalo haliwezekani,wanasahau mchango alioutoa kwa kupambana,Jambo muhimu tumeshinda,tujipange kwa gemu lijalo ovaaa
 
tatizo baadhi yenu hamwendi kuangalia mpira bali mnaenda kutafuta umbeya sababu kubwa inayomfanya Samatta asiwike ni kwanza timu yetu haina fomation wachezaji wengi wanacheza show game mbele hakuwa na msaidizi kila akishika mpira anazungukwa na mabeki watatu mpaka alipoingia Nchimbi ndio akapata msaidizi lakini ukubwa wa jina lake unawafanya wachezaji wa timu pinzani wamwekee ulinzi wa ziada na kusahau wachezaji wengine
 
Na hiyo ndo faida ya Samatta kuwa uwanjani muda wote
 
Kabisa ...unajua mashabiki wa mpira wanadhani wachezaji ni maroboti na ni lazima wacheze 100% ...ila wapenzi wa mpira tunajua mchezaji ni binadamu kuna siku anaamka yuko kwenye fomu na siku nyingine hayuko kwenye fomu,
Ni sawa kabisa mkuu ila tatizo la mashabiki wa Simba ni majigambo. Utasikia mara hatufungwi na timu yoyote mwaka huu, mara tuna kikosi kilichopanuliwa sana, kiasi kwamba tunaweza piga game 3 kwa siku na tunashinda. Yaani ni full majigambo si kwa msemaji wao wala mashabiki wote Lao moja ni majigambo tu. Sasa timu ikifungwa matokeo yake ndio full kulalama
 
Baba laoooo sio kila siku utakuwa vizuri, ila afadhari ushindi tumepata na faida ya kagori ketu kamoko
Tatizo hata usajili wa mwaka huu wa Simba walifanya kwa kumkomoa Zahera, sasa Zahera kasepa watamcheka nani?
 
Back
Top Bottom