doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
Hayo mengine yaliomo tu, kama timu imeshinda hata kama walifika gorinibkwa mpinzani mara mbili nankupata bao mbili inatosha. Matokea ya mchenzo ndio yanaamua ubora wa timu. Nasema wamepindua meza kibabe. Japo ilibakia kidogo "ccm walale nacho!" Maana watu walishaanza kuikataa timu na kuikabidhi kwa wahusika🤣⚽️⚽️