Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo aka mbumbumbu unateseka kutokea wapi?Watu wanatafuta hela. Hawana muda wa kupoteza kushabikia ujinga.
Yanga sports club have made a milestone, how ever today they had a lot of things to do not please every Jim and jack enough to say congratulations to yanga for the championshipParedi la Leo la kishamba, watu wachache, watangazaji wamezubaa, hamasa za kukusanya watu hawakuzifanya. na ubunifu ni zero . Garama walizopotezea kwenyeakafara ya kiarabu ya kuchinja na kula nyama za kafara wangetumia kufanya ubunifu lingekues na mvuto