Paredi la Leo la kishamba, watu wachache, watangazaji wamezubaa, hamasa za kukusanya watu hawakuzifanya. na ubunifu ni zero . Garama walizopotezea kwenyeakafara ya kiarabu ya kuchinja na kula nyama za kafara wangetumia kufanya ubunifu lingekues na mvuto