Leo sijafanikiwa kuliona jua kabisa na jiko sina

Leo sijafanikiwa kuliona jua kabisa na jiko sina

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Kipindi kigumu sana hiki kwa wale wasio na majiko hata ya kuni.
 
Screenshot_20200412-180643.png
 
Tafuta jiko kijana acha kulia kulia hujaliona jua. Tafuta jiko la mkaa, gas, steam au hata umeme. Machaguo yapo mengi [emoji45]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom