Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Inawezekana pia wameshambuliwa na cyber attack. Mambo ya cyber security nchi hii ni duni sana. Kuna siku airport itapigwa na cyber attack wakati ndege ziko angani ndiyo tutatipa mayowe.
Kwani ndugu zake wa damu au wale watoto wake wa kambo(anao walea), watatoshea kwenye wizara zetu?TRA iko chini ya wizara ya Fedha; kuna mkono wa Mwigullu hapo!! Mama zinduka hii wizara ni nyeti sana haifai kuogozwa na hasimu wako. Hopefully, utasikia unsolocited advice!
Wanapatikanaje? Fafanua. Maana hata Kange aliupata piaKwani ndugu zake wa damu au wale watoto wake wa kambo(anao walea), watatoshea kwenye wizara zetu?
Mnajua mawaziri wanavyopatikana?
Na kitendo chochote na kuvuruga jinsi mawaziri wanavyopatikana nchi hii, atazidi kujichafua zaidi.
Kuongoza nchi sio kazi rahisi, ya kusema, mupe huyu, huyu muruke!
Lakini Mama si juzi kati alipotembelea bandarini, alinukuliwa akisema wale walioguswa na report ya makandokando kama haya, ya kuharibu mifumo bado walikuwa wapo wapo kazini.... hahahahaaaa........Tz na Mama ana kaaazi kwelikweli....Sukumagang waliondolewa,
Msoga gang ndo kawaida yao kucheza na mifumo wafanye yao.
Umenena mkuuWenzake wakiingia wanaingia na team yao yeye kaingia nakendelea na timu ya x wake unategemea nin
Sent using Jamii Forums mobile app