Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?

Screenshot 2022-01-05 at 15.34.35.png
 
Hivi mama anajisahau vipi Mwigulu alikuja kuwa part of Sukuma Ghang?
Mwigulu Nchemba,
Silinde
Innocent Bashungwa
Joseph Musukuma,
Patrobas Katambi

Hawa wote wanamzingua mama wakati wako upande ule......
 
TRA iko chini ya wizara ya Fedha; kuna mkono wa Mwigullu hapo!! Mama zinduka hii wizara ni nyeti sana haifai kuogozwa na hasimu wako. Hopefully, utasikia unsolocited advice!
Kwani ndugu zake wa damu au wale watoto wake wa kambo(anao walea), watatoshea kwenye wizara zetu?

Mnajua mawaziri wanavyopatikana?

Na kitendo chochote na kuvuruga jinsi mawaziri wanavyopatikana nchi hii, atazidi kujichafua zaidi.

Kuongoza nchi sio kazi rahisi, ya kusema, mupe huyu, huyu muruke!
 
Hivi ule mfumo wakutoa mizigo bandarini unaohusiana na wizara bado upo? Maana viongozi wa vyama vya usafirishaji walikuwa wanaupinga Hadi mshipa unatoka, nadhani umefanyiwa figisu nao...JPM aliwaweza Sana..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ndugu zake wa damu au wale watoto wake wa kambo(anao walea), watatoshea kwenye wizara zetu?
Mnajua mawaziri wanavyopatikana?
Na kitendo chochote na kuvuruga jinsi mawaziri wanavyopatikana nchi hii, atazidi kujichafua zaidi.
Kuongoza nchi sio kazi rahisi, ya kusema, mupe huyu, huyu muruke!
Wanapatikanaje? Fafanua. Maana hata Kange aliupata pia
 
Sukumagang waliondolewa,
Msoga gang ndo kawaida yao kucheza na mifumo wafanye yao.
 
Sukumagang waliondolewa,
Msoga gang ndo kawaida yao kucheza na mifumo wafanye yao.
Lakini Mama si juzi kati alipotembelea bandarini, alinukuliwa akisema wale walioguswa na report ya makandokando kama haya, ya kuharibu mifumo bado walikuwa wapo wapo kazini.... hahahahaaaa........Tz na Mama ana kaaazi kwelikweli....
 
Wachana na system, izo ni stress za 2025[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom