Leo siku ya mlipakodi Tanzania

Leo siku ya mlipakodi Tanzania

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu leo kulikua na kongamano la TRA la kuwatambua walipa kodi bota na nyingi.Ila sijabahatika kujua ni kampuni zipi zimepata tuzo hizo.Sherehe zimefanyika Movenpick/Serena hotel.Please mwenye data atumwagia kidogo
 
Siku ya mlipa kodi inahazimishwa kwa sherehe inayofanyikia Movenpick/Serena hotel.....hakika ukistahajabu ya Musa utaona ya Firauni.

Mtiririko huko hivi, ilianza Sheraton, Royal Pam, Movenpick na sasa ni Serena Hotel. Ubadirishaji wa haya majina umesemwa sana kuambatana na ukwepaji wa kodi na Leo tunawatunuku walipa kodi wazuri nchini kwa sherehe ndani ya hoteli inayoongoza ktk ulipaji wa kodi.

Tanzania Nakupenda!!!
 
Wakuu leo kulikua na kongamano la TRA la kuwatambua walipa kodi bota na nyingi.Ila sijabahatika kujua ni kampuni zipi zimepata tuzo hizo.Sherehe zimefanyika Movenpick/Serena hotel.Please mwenye data atumwagia kidogo

Siku ya mlipa kodi inahazimishwa kwa sherehe inayofanyikia Movenpick/Serena hotel.....hakika ukistahajabu ya Musa utaona ya Firauni.

Mtiririko huko hivi, ilianza Sheraton, Royal Pam, Movenpick na sasa ni Serena Hotel. Ubadirishaji wa haya majina umesemwa sana kuambatana na ukwepaji wa kodi na Leo tunawatunuku walipa kodi wazuri nchini kwa sherehe ndani ya hoteli inayoongoza ktk ukwepaji wa kodi.

Tanzania Nakupenda!!!
 
kulipa kodi tanzania labda uwe kichaa maana haina manufaa kwa mlipaji
 
Kodi yako wenzako wanalipana maposho ,badala ya shughuli za maendeleo
 
Nikiangalia Salary Slip,jinsi jamaa wanavyokata hela yangu nashikwa na hasira sana
 
Back
Top Bottom