Leo Simba akijitahidi ni sare, kipigo kimetawala sana hapa Dodoma

Simba iliyokuwa inampiga mtu saba za nguvu, leo ndiyo wa kupiga kimoja tu tena kwa msaada wa vumbi la kongo?
 
Kachambue matembele
 
Hujui soka mnaongeaga ushabiki wa kijinga jinga tu,mpira haupo hivyo
 
Halafu matokeo ya Simba pale Dodoma yakawaje mwishoni?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lile goli halikua kwa mbinde ila la survival of the fittest..
Simba are the survivors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…