Zinazile
Senior Member
- Sep 11, 2020
- 116
- 126
Atakuwa hajaona huyuMwenye Thread Ushindi Umeuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa hajaona huyuMwenye Thread Ushindi Umeuona
KinyooongeeeHawa Dodoma wajinga sana....
Muhimu ni point 3 hayo mengine hayana umuhimu kwetuKinyooongeee
Kachambue matembeleKocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team.
Leo hawa Mbwa wanaenda chezea kichapo. Si wanajifanya wao hawaamini ushirikina wana team nzuri? Dodoma Mji inaenda kuwalamba. Ndo wataanza kutafutana. Yaani wakijitahidi sana ni draw.
Mtaalamj wetu ameshaitwa aende kuwasadia Dodoma Jiji na ameenda mapema tu leo kuweka mazingara sawa. Sioni Simba wakishinda. Sioni.kila napotizama sioni wanamshindia wapi Ankoli ami angu toka Pemba ambaye amepelekwa jana Dodoma na leo ameshafanya yake.
YANGA ASIPOCHUKUA UBINGWA MWAKA HUU NIITWE MBWA DUME NIMEKAA PALE 👉
Unataka kuchambuliwa?Kachambue matembele
Kama umeshaanza kula majalalani huponi kabisa.Kweli? Hamna dawa kabisa?
Halafu matokeo ya Simba pale Dodoma yakawaje mwishoni?Kocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team.
Leo hawa Mbwa wanaenda chezea kichapo. Si wanajifanya wao hawaamini ushirikina wana team nzuri? Dodoma Mji inaenda kuwalamba. Ndo wataanza kutafutana. Yaani wakijitahidi sana ni draw.
Mtaalamj wetu ameshaitwa aende kuwasadia Dodoma Jiji na ameenda mapema tu leo kuweka mazingara sawa. Sioni Simba wakishinda. Sioni.kila napotizama sioni wanamshindia wapi Ankoli ami angu toka Pemba ambaye amepelekwa jana Dodoma na leo ameshafanya yake.
YANGA ASIPOCHUKUA UBINGWA MWAKA HUU NIITWE MBWA DUME NIMEKAA PALE 👉
Kwa mbinde sanaHalafu matokeo ya Simba pale Dodoma yakawaje mwishoni?
Kocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team.
Leo hawa Mbwa wanaenda chezea kichapo. Si wanajifanya wao hawaamini ushirikina wana team nzuri? Dodoma Mji inaenda kuwalamba. Ndo wataanza kutafutana. Yaani wakijitahidi sana ni draw.
Mtaalamj wetu ameshaitwa aende kuwasadia Dodoma Jiji na ameenda mapema tu leo kuweka mazingara sawa. Sioni Simba wakishinda. Sioni.kila napotizama sioni wanamshindia wapi Ankoli ami angu toka Pemba ambaye amepelekwa jana Dodoma na leo ameshafanya yake.
YANGA ASIPOCHUKUA UBINGWA MWAKA HUU NIITWE MBWA DUME NIMEKAA PALE [emoji117]
Lile goli halikua kwa mbinde ila la survival of the fittest..
Simba are the survivors