Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

Game saa ngapi?maana Azam wanatupa timing mbili tofauti,,, kuna ratiba inayoonyesha game ni saa 10.00 jioni na kuna saa 1.00 usiku.
 
Game saa ngapi?maana Azam wanatupa timing mbili tofauti,,, kuna ratiba inayoonyesha game ni saa 10.00 jioni na kuna saa 1.00 usiku.
Hiyo ya saa 1:00 usiku umeiona wapi? Hakuna ilipowekwa huo muda. Mechi ni saa 10:00 jioni
 
Aisee nimeona list ya Simba leo wamewasha injini zote.
Chama.
Sakho.
Morisone.
Kanoute.
Bwalya.
 
Aisee nimeona list ya Simba leo wamewasha injini zote.
Chama.
Sakho.
Morisone.
Kanoute.
Bwalya.
Wasiposhinda magoli mengi leo basi nitaamini kweli Simba safari hii hawana kitu. Maana wamewaweka watu wote ambao wanaaminika na mashabiki wa Simba kuwa wanauwezo mkubwa
 
Ok..wacha tusubiri...
JamiiForums885375397.gif
 
Chamason
Sakhoson
Kanouteson
Morrison
Bwalyason
Mshindwe wenyewe.
Nuksi mnakuja kwa fujo na nuksi zenu.

nawaambia hivi Simba gari lishawaka kuanzia hii mechi ya leo akuna mechi tutaacha kuchukua point tatu.

Simba nguvu moja.
 
Nuksi mnakuja kwa fujo na nuksi zenu.

nawaambia hivi Simba gari lishawaka akuna mechi tutaacha kuchukua point tatu.

Simba nguvu moja.
Hao nuksi ndo kina Nani Mkuu? Wewe NAWATAFUNASON wa kuniita Mimi Nuksi kweli?
 
Back
Top Bottom