Ila tambua kwamba hayo yote yalotokea ni
mipango ya mungu, unajua Mungu ni wa ajabu
sana, ameamua kukupitisha kwa watu waliouvunja
moyo wako ili baadae akijakukupatia yule ambae
ndio chaguo Uweze kumshukuru Mungu
Baada ya mateso yote hayo, mimi nipo tayari kukubadilishia historia ya maisha yako ya mapenzi
kutoka kwenye dimbwi la huzuni mpaka kwenye
furaha isiyoisha, naomba unikabodhi rasmi
fumbatio la moyo wako ili uone ni jinsi gani
nitakutumikia ewe malkia wangu