Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stunter bhn!!!!
 
Okay mscorpion bint sisi tunajifunza zaid. Wanaotumia wallet zao kutongoza na wenyewe wabadilike Zama zimebadilika
 
mbn uanzi mtongoza sasa binti c kashajitokeza apo unambela nn sasa kijana....???
 
Ila tambua kwamba hayo yote yalotokea ni
mipango ya mungu, unajua Mungu ni wa ajabu
sana, ameamua kukupitisha kwa watu waliouvunja
moyo wako ili baadae akijakukupatia yule ambae
ndio chaguo Uweze kumshukuru Mungu
Baada ya mateso yote hayo, mimi nipo tayari kukubadilishia historia ya maisha yako ya mapenzi
kutoka kwenye dimbwi la huzuni mpaka kwenye
furaha isiyoisha, naomba unikabodhi rasmi
fumbatio la moyo wako ili uone ni jinsi gani
nitakutumikia ewe malkia wangu
 
mesy Hustahili kuwa na washenzi wasiojua thamani yako, mimi ndie mwanaume pekee mwenye
nidhamu na penzi lako, na ili kukuhakikishia hilo
jaribu kuniruhusu nikuonyeshe kwa vitendo,
manake mimi naamini kwenye matendo kuliko
maneno sweetie
 
siku hiz hawataki kutongozwa.....wanataka kuchaniwa walet alaf unaingia nchi ya Ahadi...maziwa na asali
 
Back
Top Bottom