mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Unaanza kuponda wanaume wenzio tena haufiki mbali wewemesy Hustahili kuwa na washenzi wasiojua thamani yako, mimi ndie mwanaume pekee mwenye
nidhamu na penzi lako, na ili kukuhakikishia hilo
jaribu kuniruhusu nikuonyeshe kwa vitendo,
manake mimi naamini kwenye matendo kuliko
maneno sweetie
Naam Mkuu. Naona umefurahi haswa... Burudika na CocaColaHahahaha
Compact compact hahaa.
Kuwa na adabu wewe..Unatongozaje mtoto mbele ya baba take??
Hadi wewe umekuja kutongozwa? Kwani wewe na Kiranga mshasaini petition ya kuvunja ndoa?[emoji101]
Atakuwa amekimbia vituko vya huyu stunter
Mjibu tuUwiii nilijua ameandika shairi ahahaha kutongoza gani huko
Labda aopoe jimama akawe marioo
Alafu akishakutongoza? Utamkubalia?ngoja nimalize kupika unitongoze mm after mesy
[emoji23][emoji23][emoji23]we subiri uone...itafahamikaAlafu akishakutongoza? Utamkubalia?