Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

mesy Hustahili kuwa na washenzi wasiojua thamani yako, mimi ndie mwanaume pekee mwenye
nidhamu na penzi lako, na ili kukuhakikishia hilo
jaribu kuniruhusu nikuonyeshe kwa vitendo,
manake mimi naamini kwenye matendo kuliko
maneno sweetie
Unaanza kuponda wanaume wenzio tena haufiki mbali wewe
 
Kutongoza ni.kazi ngumu aisee
Bora ki siku hiz lugha ya hisia na wallet inaongea

Nilitaka kujalibu nikashindwa kabisa..maana nishazoea nachukua tuu

Hata nguvu haitajiki aiseee

Ni cash na.uongo mwingi
 
Mkuu STUNTER mbona unachelewesha mambo,
Ukishindwa nambie Mimi nikuonyeshe action.
 
Back
Top Bottom