na hao uliwaambia kama mimi na ukawamwaga ilkuaje..au ndo unasubiri maisha baada ya kifo ukaendeleze upendo...Honey, nakuahidi kukupenda hapa duniani, na kama kuna maisha baada ya kifo basi nitakupenda
pia, wewe ndio kilakitu kwangu, nakupenda leo,
kesho na milele yoote
Hapana. Kabeba bendera yake na wewe. Mimi hajanihusisha. Bado sana kuniwakilisha kama vocal zenyewe ndo hizi MkuuBro, ujue umebeba bendera ya wanaume wa JF
Muite Huyo anaibiwa
Kwanza kupenda sio swali, ivo siihitaji jibu kutokana hao uliwaambia kama mimi na ukawamwaga ilkuaje..au ndo unasubiri maisha baada ya kifo ukaendeleze upendo...
anyways naaminije kama kweli unanipenda?
Kufeli kwa hadhira ni uzembe wa fananimpaka sasa wanawake wote wamekimbia wanaogopa... Sasa naomba nighairishe zoezi
Hapana. Kabeba bendera yake na wewe. Mimi hajanihusisha. Bado sana kuniwakilisha kama vocal zenyewe ndo hizi Mkuu
Hapana, hajabeba bendara yangu, hawezi kuwakilisha mawazo yangu kabisaaa
Mbwembwe zoote zile kumbe maneno yenyewe ndo yale yale ya mwaka 47 ??!! Nothing is newmesy Hustahili kuwa na washenzi wasiojua thamani yako, mimi ndie mwanaume pekee mwenye
nidhamu na penzi lako, na ili kukuhakikishia hilo
jaribu kuniruhusu nikuonyeshe kwa vitendo,
manake mimi naamini kwenye matendo kuliko
maneno sweetie
Huyu anaroho nyepesi atajifia hahahMuite Huyo anaibiwa
Waiter Zungusha Wine kwa wawili hawaKwanza kupenda sio swali, ivo siihitaji jibu kutoka
kwako, nnachotaka ni kukudhihirishia ni namna
gani nakupenda na nakuhitaji, cuz thamani yako
siwezi kuilinganisha na kitu chochote kile, wewe
ndio sababu mpaka sasa nahema,
Then kiss me my love scorpio me , nataka nikuoneshe kitu
Mbona swali lako softna hao uliwaambia kama mimi na ukawamwaga ilkuaje..au ndo unasubiri maisha baada ya kifo ukaendeleze upendo...
anyways naaminije kama kweli unanipenda?
Tumekupandisha na kukushusha na sana sana tumekunyali, hakuna neno jipya yote ndo yale yale tumlishayasikia, nikajua labda unatongoza kivingine kumbee ......[emoji19] kule kule kupotezeana mudampaka sasa wanawake wote wamekimbia wanaogopa... Sasa naomba nighairishe zoezi
Hahahahaa Asije kuji Tarime I see maana bado tunamkumbuka Yule kijana Fredy Barua ya MapenzHuyu anaroho nyepesi atajifia hahah
mmh ina mana bila mimi hutahema tena??Kwanza kupenda sio swali, ivo siihitaji jibu kutoka
kwako, nnachotaka ni kukudhihirishia ni namna
gani nakupenda na nakuhitaji, cuz thamani yako
siwezi kuilinganisha na kitu chochote kile, wewe
ndio sababu mpaka sasa nahema,
Then kiss me my love scorpio me , nataka nikuoneshe kitu
Bwahahahahahaha...Duh, jamaa una roho ya kikatili sana
Ulitegemea maneno kama yapiMbwembwe zoote zile kumbe maneno yenyewe ndo yale yale ya mwaka 47 ??!! Nothing is new
Ebu mchungulie wifi yako huko mnakoita pm ulete mrejesho kama yupo....Hahahahaa Asije kuji Tarime I see maana bado tunamkumbuka Yule kijana Fredy Barua ya Mapenz
aaaah mndali mi sio wale wa kujibu kunya...nakukataa ki soft soft...mana sio ugomvi hahaMbona swali lako soft
Acha amlaisishie Kazi Ndugu YetuMbona swali lako soft
.....IGWEEEEEEEEEE HUO NDO HUKU NDO KUJIAMINI KWA MEN SASA.... mm nakodo kodoa sasaMimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama kafa shoga