Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
Dr Love Pimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kalale mambo kama haya tuachie sisi...Wanarukaruka kama popcorn zikiwa jikoni
"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.mrembo Upendo ni kama mmea, daima hauwez kukua kwa
siku moja na labda nikwambie kitu, kwakuwa
nakupenda katu sitokufa moyo wala kukata tamaa
juu yako, kwasababu wewe ndiwe lengo langu basi sioni hasara kupoteza kila kitu ilimradi niwe nawe,
hata ungekuwa umbali wa Maili elfu moja, mimi ningeomba upige hatua moja tu, alafu umbali uliobaki ningetembea mimi kukufuata... i mean it baby
Sasa hivi unajionyesha tu status yako ya maisha unamtamanisha maisha mazuri basi habari kwisha maneno maneno mengi ya nini.Tatizo LA mtoa Maada hajui kama Kwa Sasa asilimia tisini na nne ya watu wamevurugwa Sana na maisha kias kwamba sound zake haziendani na KASI ya Sasa ya hapa kazi. Wewe Jiulize mpaka wadada wa naipenda track ya hainaga ushemeji tunakulaga basi ujue hata wenyewe hawazingatii aina ya mitongozo Sana Sana utajichora tu jinsi Ulivyo weak kwenye mapenzi. Mapenzi sio kama ya zamani. Mapenzi ya Sasa hayastahili kupewa mitongozo ya style yako . Kupitia mitongozano ndio Dame anatakiwa AJUE misimamo yako kimaisha kama vipi unamchana kila kitu wazi akujue we ni WA vipi.
Mi shuhuda tu kama weye jamani. Mtongozo kwangu nshafungaHadi wewe umekuja kutongozwa? Kwani wewe na Kiranga mshasaini petition ya kuvunja ndoa?
...binti najua umenilenga mm ...ila mm huwa sitongozi kwa mineno mingi lakini ki-short form huwa nasema "* HEY KABINTI MAY YOU BE MY GIRL..* so nijibu sasa afu mengn yatafuataKuna MTU mmoja aliambiwa aandike Essay akaandika Page 3 na bado Mawazo tele kichwani yalimjaa akitamani kuendelea kuandika tu, sasa ukafika muda akaambiwa aya Present essay yako kwa hadhira, mtu yule alishikwa na kigugumiz ambacho hakikutarajia na mate yakamkauka na jicho likamtoka
N.B watanzania wengi ni wazuri wa kuandika kuliko kuongea
(Zilongwa mbali, zitendwa mbali)
Aiseee!.....Ila naamini nikifikisha umri sahihi utanifungulia dirisha la mtongozo🙂🙂Mi shuhuda tu kama weye jamani. Mtongozo kwangu nshafunga
Hapa mziki ya darasa inahusikaSasa hivi unajionyesha tu status yako ya maisha unamtamanisha maisha mazuri basi habari kwisha maneno maneno mengi ya nini.
Ha haa najua kufunga tu kufungua sijuiAiseee!.....Ila naamini nikifikisha umri sahihi utanifungulia dirisha la mtongozo🙂🙂
Usiwe na wasiwasi, we ukishafunga usiwaze maana funguo ninazo mimi.Ha haa najua kufunga tu kufungua sijui
mm mwenyewe nimechekaaaaaa sanaa apooooo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti tupige kimya kama kafa shoga
Nilijua tu lazima kizinga kutafuta siku hizi hamtongozwi Bali ni kutangaza dau watu waweke fungu"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.
[emoji23][emoji23]maneno bila vila vitendo bureeNilijua tu lazima kizinga kutafuta siku hizi hamtongozwi Bali ni kutangaza dau watu waweke fungu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23]maneno bila vila vitendo buree
Blaa blaa hazitakiwi[emoji23][emoji23]maneno bila vila vitendo buree
Sema kiasi unachotaka watu tupte njia ya mkato[emoji18][emoji23][emoji23]maneno bila vila vitendo buree
Unazungumzia M Pesa?,"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.