Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Pigeni kelele wakati wenzenu wanatumia....
29095ba8942b3924b4ff9a8c9ff62ea1.jpg

Na...
f2f14395dc7cab8d44bbb0fa9f7dba92.jpg
912c8ee3c0ddb5886fb9dfe47e352cfa.jpg
 
Mkuu ngoja nichukue mistari .nikawaonee wanyonge wangu kwenye badoo .
 
mrembo Upendo ni kama mmea, daima hauwez kukua kwa
siku moja na labda nikwambie kitu, kwakuwa
nakupenda katu sitokufa moyo wala kukata tamaa
juu yako, kwasababu wewe ndiwe lengo langu basi sioni hasara kupoteza kila kitu ilimradi niwe nawe,
hata ungekuwa umbali wa Maili elfu moja, mimi ningeomba upige hatua moja tu, alafu umbali uliobaki ningetembea mimi kukufuata... i mean it baby
"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.
 
Tatizo LA mtoa Maada hajui kama Kwa Sasa asilimia tisini na nne ya watu wamevurugwa Sana na maisha kias kwamba sound zake haziendani na KASI ya Sasa ya hapa kazi. Wewe Jiulize mpaka wadada wa naipenda track ya hainaga ushemeji tunakulaga basi ujue hata wenyewe hawazingatii aina ya mitongozo Sana Sana utajichora tu jinsi Ulivyo weak kwenye mapenzi. Mapenzi sio kama ya zamani. Mapenzi ya Sasa hayastahili kupewa mitongozo ya style yako . Kupitia mitongozano ndio Dame anatakiwa AJUE misimamo yako kimaisha kama vipi unamchana kila kitu wazi akujue we ni WA vipi.
Sasa hivi unajionyesha tu status yako ya maisha unamtamanisha maisha mazuri basi habari kwisha maneno maneno mengi ya nini.
 
Kuna MTU mmoja aliambiwa aandike Essay akaandika Page 3 na bado Mawazo tele kichwani yalimjaa akitamani kuendelea kuandika tu, sasa ukafika muda akaambiwa aya Present essay yako kwa hadhira, mtu yule alishikwa na kigugumiz ambacho hakikutarajia na mate yakamkauka na jicho likamtoka
N.B watanzania wengi ni wazuri wa kuandika kuliko kuongea
(Zilongwa mbali, zitendwa mbali)
...binti najua umenilenga mm ...ila mm huwa sitongozi kwa mineno mingi lakini ki-short form huwa nasema "* HEY KABINTI MAY YOU BE MY GIRL..* so nijibu sasa afu mengn yatafuata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti tupige kimya kama kafa shoga
mm mwenyewe nimechekaaaaaa sanaa apooooo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
"huoni hasara kupoteza kitu"....em send me some cash kune m-pesa yangu.
Unazungumzia M Pesa?,
mimi nitakupa kadi yangu ya Bank, muda wowote ukihitaji,
unajua sioni kitu gani nitakupa ambacho kitafikia thamani yako, hata nikikurithisha mali zangu zote, bado haziwezi kulingana na thamani yako, Nimeamua kujitoa mazima kwako, na ndio hivi nadondoka na naomba uniokote ili nisiangamie mama... Nakupenda Scorpio, Nakupendaa
 
Back
Top Bottom