Leo taifa linaenda kupata aibu

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
597
Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max

Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kuna Timu kongwe inaenda kutuaibisha
Kama kuna mtu anabisha tukutane hapa hapa saa tatu usiku baada ya kufungwa na waarabu wenye hasira kali

Na hamtofuzu kwenda robo fainali maana mkienda lubumbashi mtarudi na aibu nyingine ya kufungia mwaka

Ila jana lilipigwa bori kashata miksa masotojo alafu yule chama Chelsea, Man U anacheza vizuri tu na hakuna wa kumuweka benchi

Mimi ni Shabiki wa Lunyasi!

 
Inakwenda kupigwa mechi ya kiume na sio mechi ya kike kike kama ya jana, unamfunga horoya unatamba mji mzima, Mechi ni leo na mwarabu atapigwa tu atake asitake, inapotaja timu yenye kikosi bora Tanzania ni yanga, unapotaja timu yenye benchi bora la ufundi Tanzania ni yanga, Sasa waarabu watatokea mlango gani labda tuambie pamoja na ubora wao
 
 
Filimbi ya mwisho ikipulizwa uje mkuu
 
Liwakute lolote mi Sina haja nao wakishinda tutashangalia wakifungwa tutawacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…