Leo taifa linaenda kupata aibu

usije kufikiri yanga atafungwa leo, bookies/Vegas hawajawahi kukosea odds.
Na ukiona odds kubwa imetoa tambua hiyo match ni fixing
 
Ushindi wa jana unawalevya makolo wengi wanajikuta wanaandika utumbo mwingi humu jukwaani. Nashauri mods waweke limits hawa mbogo maji wamelewa na uhakika baada ya siku mbili wakirudi kusoma wanacho andika watakimbia jukwaa la michezo wiki nzima
 
Mbona Yanga Mnaandika Sana Mpaka Mnajitoa Akili ID Mpya Mara Horoya FC
Mara Vipers FC Hujaliona Hilo Hapa JF Ama Ndiyo Unajifanya Upo Mirembe Mental Hospital, Dodoma, Lutindi Mental Hospital Korogwe
 
Tuwe wazalendo...

Mafanikio ya Simba au Yanga kimataifa husomeka kama mafanikio ya timu na pia ya taifa...

Ndio maana utaona kufanikiwa kwa timu moja, kunazibeba na nyinginezo kiasi cha taifa kupewa nafasi zaidi za upendeleo...
 
Tuwe wazalendo...

Mafanikio ya Simba au Yanga kimataifa husomeka kama mafanikio ya timu na pia ya taifa...

Ndio maana utaona kufanikiwa kwa ti.u moja, kunazibeba na nyinginezo kiasi cha taifa kupewa nafasi zaidi za upendeleo...
Kuna sehemu za kuwa mzalendo sio kwa utpolo
 
Naangalia marudio ya mechi ya simba na horoya jana, aisee wasipokuwa makini wanapigwa tena 7,, mpaka muda huu washakula 3, mpira ni half time
 
Wa Tunisia Leo watatusamehe , Hakuna namna wasizitoe point tatu, Ni swala la muda tu.
Kwa Sasa tupo vizuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zumaridi: Nilipokuwa mbinguni niliwaona utopolo wakipewa Hamsa na Us Monastir..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kubwaaa.
 
Kuwa mzalendo,unaenda kuzibika wewe🤔
 
Naangalia marudio ya mechi ya simba na horoya jana, aisee wasipokuwa makini wanapigwa tena 7,, mpaka muda huu washakula 3, mpira ni half time
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Japo Yanga Ni Snitch Ila Leo Tunawaombea Walete Ushindi Wa Kishindo
Waache Ubabaifu Maana Timu Yao Yenyewe Ni Kama Genge La Wahuni Wachache
Kututakia kheri na matusi,juu hapo sijui umepata baraka au laana🤔
 
Kututakia kheri na matusi,juu hapo sijui umepata baraka au laana🤔
Serikali Jana Imepata Burdani Boll Itembee, Pira Samba Loketo, Pira Biriani
Vyumba Tu Jana Taifa Limetulia Tuli.

Leo Sasa Mtani Najua Pira Mihogo, Pasi Temeke Mpira Unakwenda Kuangukia Majohe
Ila Pamoja Na Pira Mihogo, Pira Sukari Na Ugali Leteni Ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…