Leo taifa linaenda kupata aibu

Kama wala chips na njiwa mmepata ushindi wa goli saba,je wananchi situtashinda goli 11 leo.,πŸ€”
 
Haya unaongellea Tanzania na sio Afrika, anyway kila la heri
 
Kama wala chips na njiwa mmepata ushindi wa goli saba,je wananchi situtashinda goli 11 leo.,πŸ€”
Kuleni Sukari Na Ugali Mwingi Viwanda Vyote Hivi
Mtibwa Sugar
Kilombero Sugar
Kagera Sugar
TPC Sugar
Bagamoyo Sugar
Mbigiri Sugar
 
Kuleni Sukari Na Ugali Mwingi Viwanda Vyote Hivi
Mtibwa Sugar
Kilombero Sugar
Kagera Sugar
TPC Sugar
Bagamoyo Sugar
Bigiri Sugar
Hilo tumewaachia watani wenu wachache πŸ€”
 
Badala ya hilo Taifa lako kuaibika, naona umeaibika wewe mwenyewe. Unajisikiaje kwa sasa? Watu wanaongoza kundi huko! Achilia mbali kufuzu hatua inayofuata.
 
Unateseka ukiwa wapi simba junia?
 
Wameshazoea kukaa kileleni kwenye misismamo ya ligi na kauli yao ya DAIMA MBELE NYUMA MWIKO(Nyuma Mikia)!
 
Kuna timu ya hapa Bongo imetinga robo fainali kwa kishindo lakini mashabiki wake hawana furaha!

Watapigwa kama ngoma robo fainali!
 
Waanzisha nyuzi za kiwaki kama hizi wanapaswa wafukunyuliwe kikamilifu baada ya mechi ili akili ziwakae sawa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Aibu ipi?
 
Aibu kwako Sasa, unateseka ukiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…