Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

Huyu mleta uzi huu nuksi tupu na utashindwa mwenyeweeee
Huyu ni mtu wa kamati ya ufundi wa timu moja maarufu sana hapa Daresalaam.
Huko anawalia pesa kwa kujifanya mganya wao.
a.k.a mpiga Ramuli.
Ngoja tu niseme ukweli
Anawapigia ramuli klabu ya Yanga.
Msamehe tu mkuu.
 
Imekula kwako na utabiri wako kuntu.
 
Hivi mimi hua najiuliza vi nchi kama hiyo vinakuaje nchi? Kwahiyo wana mikoa na wilaya ee? Kunakua na mabasi ya mikoani na daladala ee? Hivi ki nchi kama hiyo si maendeleo faster tu. Yani inakua na jeshi ambalo wanaweza hata kutunishiana misuli na jwtz ee? Dah maajabu kweli, lkn nchi kama hiyo, kwa mfano mimi ndiye ningekua raisi, hakuna mtu angelipia huduma za ki jamii.
 
Kwani soka lingaaliwa kwa ukubwa wa nchi? Ndio maana kumbe watz hampigi hatua.

Unazifahamu nchi kubwa duniani kijiografia? Unazifahamu nchi zenye watu wengi zaidi duniani? Zinafanyaje kisoka?
 
mleta uzi naomba nikutukane kuwa ni mpumbavu wa uzalendo. ahsante
 
Tatizonchi ndogo nzo zinakuwa na rasilimali chache, nguvukazi chache etc. Ukiwa na nchikuba hukosi almasisehemu, dhahabu sehemu, mito, makonde etc.

Huko hawana vingi
 
uzuri/ubaya kwenye historia itabaki tu kuwa TZ ilishinda dhidi ya Lesotho tarehe 7/7/2017
 
Kwani soka lingaaliwa kwa ukubwa wa nchi? Ndio maana kumbe watz hampigi hatua.

Unazifahamu nchi kubwa duniani kijiografia? Unazifahamu nchi zenye watu wengi zaidi duniani? Zinafanyaje kisoka?
Nimejibu hilo swali juu. Soma.
 
Mayanga jirekebishe acha kupenda wachezaji wa Mtibwa au waliocheza Mtibwa FC...Yule Mbonde si bora ungemchukua Ajibu na Abulrahman Musa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…