Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Habari zenu wanajamvi.

Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo.

Licha ya kutambua wazi kuwa hatutafika popote kwenye michuano hii, bado mkaendelea kuamini kuwa "Kuku atameza Papai".

Leo ndio tunaenda kufunga pazia la michuano hii kwa upande wa timu yetu kwa kichapo cha "bao moja kwa nunge".

Naomba tuendelee kuwa pamoja na timu yetu hata kama tu najua kabisa kuwa tunaenda kufungwa. Maana hakuna namna pekee ya kuonyesha uzalendo zaidi ya kukubali hali halisi.

Iandaeni mioyo yenu maana Imeandikwa. "Mwana wa Adamu atashinda mechi chache za kwanza, siku ya pili atakula kichapo na siku ya tatu atapaishwa na Lesotho" Taifa 4:2-0.

575a16ac4aa7085ec566e3dd5f81c875.jpg
 
Ku... la bibi yako

Kwanini unaitabiria vibaya timu ya taifa lako ?

Au wewe si raia wa nchi hii.

We mapenzi yako ni kwa timu ya Yanga Afrikans pekee.

Kabila gani wewe ?
 
Mkuu....

Si suala la kutabiri mabaya...Kwani nani alikuwa na hakika kuwa cream ya timu ya mpira wa miguu ya Tanzania angemfunga timu ya mseto ya Zambia...?

Huu ni uhalisia tu.
 
Wana wachezaji lukuki kuliko Tanzania wanao cheza soka la kulipwa nje ya nchi....
Bado hujasemezana nami kwenye suala la msingi nililoliulizia.

Inakuwaje ki nchi kidogo hicho, chenye eneo kama la mkoa wa Mara tu, mkoa wa 17 kwa ukubwa Tanzania, na chenye watu kama wilaya ya Kinondoni tu, kiwe na wachezaji wengi sana wanaocheza soka la kulipwa nje kutuzidi Tanzania?

Lesotho kwa idadi ya watu tumewazidi karibu mara 30.
 
Demigod wee siwezi kukupa cheo cha kwamba sio mzalendo we no mpuuzi kabisa inaelekea pia uwenda unapenda na cxm, mko kama wachawo vile
 
Mkuu....

Si suala la kutabiri mabaya...Kwani nani alikuwa na hakika kuwa cream ya timu ya mpira wa miguu ya Tanzania angemfunga timu ya mseto ya Zambia...?

Huu ni uhalisia tu.
Mbona huwa hutabiri Taifa Star inashinda kwenye mechi za ushindi ?
Unaonekana unafurahia Star inapofungwa.
 
Ukweli mchungu.
Tunasubiri dafu kwenye mlimau.
Kwa kocha yupi?
Kwa timu ipi?
Hatuna mipango. Zambia wangependa kuleta under 17 bado tungefungwa.
 
Bado hujasemezana nami kwenye suala la msingi nililoliulizia.

Inakuwaje ki nchi kidogo hicho, chenye eneo kama la mkoa wa Mara tu, mkoa wa 17 kwa ukubwa Tanzania, na chenye watu kama wilaya ya Kinondoni tu, kiwe na wachezaji wengi sana wanaocheza soka la kulipwa nje kutuzidi Tanzania?

Lesotho kwa idadi ya watu tumewazidi karibu mara 30.
Uzembe wetu...
 
Demigod wee siwezi kukupa cheo cha kwamba sio mzalendo we no mpuuzi kabisa inaelekea pia uwenda unapenda na cxm, mko kama wachawo vile

Mkuu sijakuelewa vyema, hebu rudia tena.
 
Ukweli mchungu.
Tunasubiri dafu kwenye mlimau.
Kwa kocha yupi?
Kwa timu ipi?
Hatuna mipango. Zambia wangependa kuleta under 17 bado tungefungwa.
[emoji106]
 
Back
Top Bottom