Ramsey Ramadan
Member
- Jun 25, 2017
- 8
- 14
Kamati ya ufundi ya MBAO FC ikihusika tutatoka tyuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani eti everton wanakuja lini na kiingilio kwenye mechi hiyo ni sh ngapi pls nijibu ndugu yanguNgekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.
Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.
Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.
Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.
Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
Ha ha haMakadirio yangu yalikuwa ya chini tu. Vijana wanaweza lambwa zile za Algeria
Mechi TAREHE 13.... Kiingilio 8k kwa 3ksamahani eti everton wanakuja lini na kiingilio kwenye mechi hiyo ni sh ngapi pls nijibu ndugu yangu
8k ni viti maalum na 3k ndo kawaida mkuu hebu nifafanulie kidogo hapa sijaelewaMechi TAREHE 13.... Kiingilio 8k kwa 3k
Ufundi upi Mkuuuu????Kamati za ufundi jamani fanyeni mambo maana kuifunga Zambia bila kufanya maarifa hapa tunajidanganya.
Kwa kweli timu ya taifa nnaichukia.Wafungwe tu maana sijawah kua shabiki wake
Ha ha ha ha ha ha ha ha haTaifa stars nusu fainali COSAFA ni sawa na tembo juu ya mti![]()
Hujui alivyofika lakini unajua atadondoka
Ha ha ha ha ha bashiri tu MkuuKwa ninavyoijua Zambia...
Siwezi kubashiri. Ila nawatakia bahati nzuri Taifa stars.