Leo Taifa Stars anafungwa 2-0 na Zambia.

Kwa gemu IPI Zambia walioonyesha ##historia tu zinawabeba Leo vijana kama kawa 2-1 lazma wakae Tanzania mbele
Nakunya hapa mpaka Zambia huku nikitambaa.
 
samahani eti everton wanakuja lini na kiingilio kwenye mechi hiyo ni sh ngapi pls nijibu ndugu yangu
 
Huo ni uchambuzi, ubashiri au ramli?

Mpira huwa hauna njia za mkato kama unavyotuaminisha, na matokeo yake huwa ni dkk 90

Nampongeza Mayanga na kikosi chake kwa kugangamala hadi sasa hata kama timu haiko kwenye ubora mkubwa lakini si ya kuchukuliwa poa. Rekodi ya kutopoteza mechi 7 mfululizo si mchezo, Mart Noiij aliondoka kwenye mechi za COSAFA bila kufunga hata goli la offside!

Kocha wetu Mkwasa alitupatia kipigo cha aibu tangu 'dunia' ya Tanzania iumbwe, huyu Salum Mayanga kwao hawa wote ni zaidi ya bouncer. Anastahili heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…