Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama msimamizi wao mkuu kikatiba kiasili ni goigoi na zuzu kwanini tu wasifanye watakalo?Tanesco ni shirika lililoshindikana,wanakata na kurudisha umeme kila wanapojisikia[emoji706][emoji706][emoji706]
kwan wameanza jana?Itakuwa hujaona mistimu ilivyoangushwa na mafuriko.
Juma Aweso, Waziri wa maji ametokea mkata wilaya ya Pangani.Huko maji sasa hivi mnapata??
Mara ya mwisho nimefika huko Lodge nzuri unakuta maji kwenye majaba.
Umeme Wilaya ya Chunya ni sawa na anasa Kwa Sasa.[emoji3][emoji3] Wilaya Ya Chunya-Mkoa wa Mbeya- ukatikaji wa Umeme limekuwa janga Kubwa sana Kwa kweli.
Mbaya zaidi, waathirika wakubwa ni wenye "Elution plants", Karasha (Crusher), na migodi ya dhahabu wanaotegemea Umeme kuendeshea shughuli zao. Kwa hiyo, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, na Serikali ya Tanzania kiujumla, mapato yanapungua Kwa kuwa uzalishaji wa madini unapungua sababu ya kukatikakatika Kwa Umeme kila wakati (Umeme usio wa uhakika).