Leo tarehe 12/02/2019 Dola 1 (USD) inauzwa shs 2,415 toka shs 2,157 ya Disemba 2015

Leo tarehe 12/02/2019 Dola 1 (USD) inauzwa shs 2,415 toka shs 2,157 ya Disemba 2015

Kwa nini na huku asitumie nguvu ,akaipiga risasi hiyo dola isiendelee kupanda .
 
Tanzania Kwasasa Ipo Vema
Maendeleo Hayana Chama
Trilion 1.5 kuishia tumboni mwenu na kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge ndiyo Tanzania kwa sasa ipo vyema?
 
hiyo ni pesa nyingi sana itafika muda dollar ndo itaanza kutumika mana hakuna mtu atakaye kubali kupokea malipo kwa pesa inayoshuka kila siku

Uchumi unayumba sana hali ni mbaya sana Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato wana pressure kubwa hawajui wafanye nini maana udikteta wao umeanza kuligharu Taifa.
 
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.

Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.

Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda

Mlikuwa wapiga dili ndio maana dola ilikuwa inauzwa bei ya chini.
 
Uchumi unayumba sana hali ni mbaya sana Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato wana pressure kubwa hawajui wafanye nini maana udikteta wao umeanza kuligharu Taifa.
Shida ya vitu vya kiuchumi, hii ni downwards spiral, inatakiwa juhudi kubwa sana kuistabilise, na krudi kwenye mstari, unfortunately zaidi ya maandamano ya kusifia juhudi, na kutwa kuwalaza watu ndani sioni juhudi ikifanyika, it will get more worse than this na maandamano yataongezeka nasubiri maandamano ya kuipongeza serikali tukufu kurudisha korosho kwa wakulima
 
Back
Top Bottom