Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Trilion 1.5 kuishia tumboni mwenu na kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge ndiyo Tanzania kwa sasa ipo vyema?Tanzania Kwasasa Ipo Vema
Maendeleo Hayana Chama
hiyo ni pesa nyingi sana itafika muda dollar ndo itaanza kutumika mana hakuna mtu atakaye kubali kupokea malipo kwa pesa inayoshuka kila siku
Mshauri wake Mkuu ni Daud Arbaty Bashite ambaye hana vyeti unategemea nini hapo?
Utapata uhalisia wa rate sahihi iwapoMbona mimi nimeona hii ?
Meko mwanza mkuu?😂😂uchumi wa Meko Unakua sana
Mabenki ya kubadiri fedha za Kigeni leo tarehe 12/02019 inauzwa kati ya shs 2,410 - 2,415 katika benki za Kibiasha ikiwepo NMB, CRDB, Azania, NBC.
Tukumbuke kuwa mwaka 2015 dec dola ilikuwa ikuzwa kati ya shs 2,150 - 2,157 kwa dola ya marekani.
Average ya ongezeko la shs 300 katika utawala huu wa ndege na viwanda
Shida ya vitu vya kiuchumi, hii ni downwards spiral, inatakiwa juhudi kubwa sana kuistabilise, na krudi kwenye mstari, unfortunately zaidi ya maandamano ya kusifia juhudi, na kutwa kuwalaza watu ndani sioni juhudi ikifanyika, it will get more worse than this na maandamano yataongezeka nasubiri maandamano ya kuipongeza serikali tukufu kurudisha korosho kwa wakulimaUchumi unayumba sana hali ni mbaya sana Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato wana pressure kubwa hawajui wafanye nini maana udikteta wao umeanza kuligharu Taifa.